Kumbukumbu 28:5
Deuteronomy 28:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kapu lako na vyombo vyako vya kukandia vitabarikiwa.
Deuteronomy 28:5 in English
Deuteronomy 28:5 · Berean Standard Bible
Your basket and kneading bowl will be blessed.
Context
3Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani. 4Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako. 5Kapu lako na vyombo vyako vya kukandia vitabarikiwa. 6Utabarikiwa uingiapo na utabarikiwa utokapo. 7Bwana atasababisha adui wainukao dhidi yako kushindwa mbele yako. Watakujia kwa njia moja lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.