Native Bible

Deuteronomy 28:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utabarikiwa uingiapo na utabarikiwa utokapo.

Deuteronomy 28:6 in English

Deuteronomy 28:6 · Berean Standard Bible

You will be blessed when you come in and blessed when you go out.

Context

4Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako. 5Kapu lako na vyombo vyako vya kukandia vitabarikiwa. 6Utabarikiwa uingiapo na utabarikiwa utokapo. 7Bwana atasababisha adui wainukao dhidi yako kushindwa mbele yako. Watakujia kwa njia moja lakini watakimbia mbele yako kwa njia saba. 8Bwana ataagiza baraka juu ya ghala zako na juu ya kila kitu utakachogusa kwa mkono wako. Bwana Mungu wako atakubariki katika nchi anayokupa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.