Kumbukumbu 28:4
Deuteronomy 28:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako.
Deuteronomy 28:4 in English
Deuteronomy 28:4 · Berean Standard Bible
The fruit of your womb will be blessed, as well as the produce of your land and the offspring of your livestock— the calves of your herds and the lambs of your flocks.
Context
2Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii Bwana Mungu wako: 3Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani. 4Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako. 5Kapu lako na vyombo vyako vya kukandia vitabarikiwa. 6Utabarikiwa uingiapo na utabarikiwa utokapo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.