Native Bible

Deuteronomy 28:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii Bwana Mungu wako:

Deuteronomy 28:2 in English

Deuteronomy 28:2 · Berean Standard Bible

And all these blessings will come upon you and overtake you, if you will obey the voice of the LORD your God:

Context

1Kama ukimtii Bwana Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, Bwana Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia. 2Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii Bwana Mungu wako: 3Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani. 4Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.