Kumbukumbu 28:3
Deuteronomy 28:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani.
Deuteronomy 28:3 in English
Deuteronomy 28:3 · Berean Standard Bible
You will be blessed in the city and blessed in the country.
Context
1Kama ukimtii Bwana Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, Bwana Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia. 2Baraka hizi zote zitakuja juu yako na kukupata, kama ukimtii Bwana Mungu wako: 3Utabarikiwa mjini na utabarikiwa mashambani. 4Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako. 5Kapu lako na vyombo vyako vya kukandia vitabarikiwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.