Kumbukumbu 27:14
Deuteronomy 27:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nao Walawi watawasomea watu wote wa Israeli kwa sauti kubwa:
Deuteronomy 27:14 in English
Deuteronomy 27:14 · Berean Standard Bible
Then the Levites shall proclaim in a loud voice to every Israelite:
Context
12Mtakapovuka Mto Yordani, makabila haya yatasimama juu ya Mlima Gerizimu kubariki watu: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yosefu na Benyamini. 13Makabila haya yatasimama juu ya Mlima Ebali kwa kutamka laana: Reubeni, Gadi, Asheri, Zabuloni, Dani na Naftali. 14Nao Walawi watawasomea watu wote wa Israeli kwa sauti kubwa: 15“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.”
Kisha watu wote watasema, “Amen!” 16“Alaaniwe mtu amdharauye baba yake na mama yake.”
Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.