Native Bible

Deuteronomy 27:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Alaaniwe mtu amdharauye baba yake na mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Deuteronomy 27:16 in English

Deuteronomy 27:16 · Berean Standard Bible

‘Cursed is he who dishonors his father or mother.’ And let all the people say, ‘Amen!’

Context

14Nao Walawi watawasomea watu wote wa Israeli kwa sauti kubwa: 15“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!” 16“Alaaniwe mtu amdharauye baba yake na mama yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!” 17“Alaaniwe mtu asogezaye jiwe la mpaka wa jirani yake.” Kisha watu wote watasema, “Amen!” 18“Alaaniwe mtu ampotoshaye kipofu njiani.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.