Native Bible

Deuteronomy 25:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana Bwana Mungu wako humchukia yeyote ambaye hufanya mambo kama haya, yeyote anayetenda kwa udanganyifu.

Deuteronomy 25:16 in English

Deuteronomy 25:16 · Berean Standard Bible

For everyone who behaves dishonestly in regard to these things is detestable to the LORD your God.

Context

14Usiwe na vipimo viwili tofauti katika nyumba yako, kimoja kikubwa, kingine kidogo. 15Ni lazima uwe na uzito na vipimo sahihi na vya haki, ili upate kuishi maisha marefu katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako. 16Kwa maana Bwana Mungu wako humchukia yeyote ambaye hufanya mambo kama haya, yeyote anayetenda kwa udanganyifu. 17Kumbuka kile Waamaleki walichowatendea mlipokuwa njiani mkitoka Misri. 18Wakati mlipokuwa mmechoka na kuishiwa nguvu kwa safari yenu, wakawapiga wale wote waliokuja nyuma. Waamaleki hawakumwogopa Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.