Kumbukumbu 25:18
Deuteronomy 25:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati mlipokuwa mmechoka na kuishiwa nguvu kwa safari yenu, wakawapiga wale wote waliokuja nyuma. Waamaleki hawakumwogopa Mungu.
Deuteronomy 25:18 in English
Deuteronomy 25:18 · Berean Standard Bible
how they met you on your journey when you were tired and weary, and they attacked all your stragglers; they had no fear of God.
Context
16Kwa maana Bwana Mungu wako humchukia yeyote ambaye hufanya mambo kama haya, yeyote anayetenda kwa udanganyifu. 17Kumbuka kile Waamaleki walichowatendea mlipokuwa njiani mkitoka Misri. 18Wakati mlipokuwa mmechoka na kuishiwa nguvu kwa safari yenu, wakawapiga wale wote waliokuja nyuma. Waamaleki hawakumwogopa Mungu. 19Bwana Mungu wako atakapokupa pumziko mbali na adui zako wote wanaokuzunguka katika nchi akupayo kuimiliki kuwa urithi, utafutilia mbali kumbukumbu lote la Waamaleki chini ya mbingu. Usisahau!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.