Kumbukumbu 25:15
Deuteronomy 25:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni lazima uwe na uzito na vipimo sahihi na vya haki, ili upate kuishi maisha marefu katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako.
Deuteronomy 25:15 in English
Deuteronomy 25:15 · Berean Standard Bible
You must maintain accurate and honest weights and measures, so that you may live long in the land that the LORD your God is giving you.
Context
13Usiwe na mawe ya kupimia ya aina mbili katika mkoba wako, moja zito na jingine jepesi. 14Usiwe na vipimo viwili tofauti katika nyumba yako, kimoja kikubwa, kingine kidogo. 15Ni lazima uwe na uzito na vipimo sahihi na vya haki, ili upate kuishi maisha marefu katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako. 16Kwa maana Bwana Mungu wako humchukia yeyote ambaye hufanya mambo kama haya, yeyote anayetenda kwa udanganyifu. 17Kumbuka kile Waamaleki walichowatendea mlipokuwa njiani mkitoka Misri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.