Kumbukumbu 23:10
Deuteronomy 23:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ikiwa mtu amechafuka kwa sababu ya kutokwa na shahawa usiku, inampasa atoke nje ya kambi na kukaa huko.
Deuteronomy 23:10 in English
Deuteronomy 23:10 · Berean Standard Bible
If any man among you becomes unclean because of a nocturnal emission, he must leave the camp and stay outside.
Context
8Kizazi cha tatu cha watoto watakaozaliwa nao wanaweza kuingia katika kusanyiko la Bwana. 9Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu chochote kisicho safi. 10Ikiwa mtu amechafuka kwa sababu ya kutokwa na shahawa usiku, inampasa atoke nje ya kambi na kukaa huko. 11Lakini jioni ikikaribia ataoga, na baada ya jua kuzama ataingia tena kambini. 12Tengeni mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda kujisaidia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.