Kumbukumbu 23:8
Deuteronomy 23:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kizazi cha tatu cha watoto watakaozaliwa nao wanaweza kuingia katika kusanyiko la Bwana.
Deuteronomy 23:8 in English
Deuteronomy 23:8 · Berean Standard Bible
The third generation of children born to them may enter the assembly of the LORD.
Context
6Msitafute mapatano ya urafiki nao maisha yenu yote. 7Usimchukie Mwedomu, kwa kuwa yeye ni ndugu yako. Usimchukie Mmisri, kwa sababu uliishi kama mgeni katika nchi yake. 8Kizazi cha tatu cha watoto watakaozaliwa nao wanaweza kuingia katika kusanyiko la Bwana. 9Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu chochote kisicho safi. 10Ikiwa mtu amechafuka kwa sababu ya kutokwa na shahawa usiku, inampasa atoke nje ya kambi na kukaa huko.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.