Native Bible

Deuteronomy 23:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msitafute mapatano ya urafiki nao maisha yenu yote.

Deuteronomy 23:6 in English

Deuteronomy 23:6 · Berean Standard Bible

You are not to seek peace or prosperity from them as long as you live.

Context

4Kwa kuwa hawakuja kuwalaki wakiwa na mkate na maji mlipokuwa njiani mlipotoka Misri, tena walimwajiri Balaamu mwana wa Beori kutoka Pethori iliyoko Aramu-Naharaimu* ili kuwalaani ninyi. 5Hata hivyo, Bwana Mungu wenu hakumsikiliza Balaamu bali aligeuza laana kuwa baraka kwenu kwa sababu Bwana Mungu wenu anawapenda. 6Msitafute mapatano ya urafiki nao maisha yenu yote. 7Usimchukie Mwedomu, kwa kuwa yeye ni ndugu yako. Usimchukie Mmisri, kwa sababu uliishi kama mgeni katika nchi yake. 8Kizazi cha tatu cha watoto watakaozaliwa nao wanaweza kuingia katika kusanyiko la Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.