Native Bible

Deuteronomy 23:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu chochote kisicho safi.

Deuteronomy 23:9 in English

Deuteronomy 23:9 · Berean Standard Bible

When you are encamped against your enemies, then you shall keep yourself from every wicked thing.

Context

7Usimchukie Mwedomu, kwa kuwa yeye ni ndugu yako. Usimchukie Mmisri, kwa sababu uliishi kama mgeni katika nchi yake. 8Kizazi cha tatu cha watoto watakaozaliwa nao wanaweza kuingia katika kusanyiko la Bwana. 9Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu chochote kisicho safi. 10Ikiwa mtu amechafuka kwa sababu ya kutokwa na shahawa usiku, inampasa atoke nje ya kambi na kukaa huko. 11Lakini jioni ikikaribia ataoga, na baada ya jua kuzama ataingia tena kambini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.