Kumbukumbu 23:11
Deuteronomy 23:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini jioni ikikaribia ataoga, na baada ya jua kuzama ataingia tena kambini.
Deuteronomy 23:11 in English
Deuteronomy 23:11 · Berean Standard Bible
When evening approaches, he must wash with water, and when the sun sets he may return to the camp.
Context
9Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu chochote kisicho safi. 10Ikiwa mtu amechafuka kwa sababu ya kutokwa na shahawa usiku, inampasa atoke nje ya kambi na kukaa huko. 11Lakini jioni ikikaribia ataoga, na baada ya jua kuzama ataingia tena kambini. 12Tengeni mahali nje ya kambi ambapo mnaweza kwenda kujisaidia. 13Kama sehemu ya vifaa vyenu kuweni na kitu cha kulimia, nanyi mnapojisaidia, chimba shimo na kisha funika kile kikutokacho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.