Kumbukumbu 22:11
Deuteronomy 22:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usivae nguo za sufu na kitani zilizofumwa pamoja.
Deuteronomy 22:11 in English
Deuteronomy 22:11 · Berean Standard Bible
Do not wear clothes of wool and linen woven together.
Context
9Usipande aina mbili za mbegu katika shamba lako la mizabibu; ikiwa utafanya hivyo, si mazao utakayopanda tu yatakuwa najisi, bali nayo matunda ya shamba la mizabibu pia. 10Usilime kwa maksai aliyefungwa nira pamoja na punda. 11Usivae nguo za sufu na kitani zilizofumwa pamoja. 12Fanya vishada kwenye pembe nne za joho unalovaa. 13Ikiwa mtu atamwoa mke na, baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.