Native Bible

Deuteronomy 22:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usilime kwa maksai aliyefungwa nira pamoja na punda.

Deuteronomy 22:10 in English

Deuteronomy 22:10 · Berean Standard Bible

Do not plow with an ox and a donkey yoked together.

Context

8Wakati unapojenga nyumba mpya, fanya ukuta wa kuzuia kandokando ya dari ili usijiletee hatia ya kumwaga damu juu ya nyumba yako ikiwa yeyote ataanguka kutoka humo. 9Usipande aina mbili za mbegu katika shamba lako la mizabibu; ikiwa utafanya hivyo, si mazao utakayopanda tu yatakuwa najisi, bali nayo matunda ya shamba la mizabibu pia. 10Usilime kwa maksai aliyefungwa nira pamoja na punda. 11Usivae nguo za sufu na kitani zilizofumwa pamoja. 12Fanya vishada kwenye pembe nne za joho unalovaa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.