Kumbukumbu 22:12
Deuteronomy 22:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Fanya vishada kwenye pembe nne za joho unalovaa.
Deuteronomy 22:12 in English
Deuteronomy 22:12 · Berean Standard Bible
You are to make tassels on the four corners of the cloak you wear.
Context
10Usilime kwa maksai aliyefungwa nira pamoja na punda. 11Usivae nguo za sufu na kitani zilizofumwa pamoja. 12Fanya vishada kwenye pembe nne za joho unalovaa. 13Ikiwa mtu atamwoa mke na, baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia, 14akimsingizia na kumwita jina baya, akisema, “Nilimwoa mwanamke huyu, lakini nilipomkaribia sikupata uthibitisho wa ubikira wake”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.