Kumbukumbu 22:13
Deuteronomy 22:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ikiwa mtu atamwoa mke na, baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia,
Deuteronomy 22:13 in English
Deuteronomy 22:13 · Berean Standard Bible
Suppose a man marries a woman, has relations with her, and comes to hate her,
Context
11Usivae nguo za sufu na kitani zilizofumwa pamoja. 12Fanya vishada kwenye pembe nne za joho unalovaa. 13Ikiwa mtu atamwoa mke na, baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia, 14akimsingizia na kumwita jina baya, akisema, “Nilimwoa mwanamke huyu, lakini nilipomkaribia sikupata uthibitisho wa ubikira wake” 15ndipo baba na mama wa msichana wataleta uthibitisho kwamba alikuwa bikira kwa wazee wa mji kwenye lango.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.