Native Bible

Deuteronomy 22:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usipande aina mbili za mbegu katika shamba lako la mizabibu; ikiwa utafanya hivyo, si mazao utakayopanda tu yatakuwa najisi, bali nayo matunda ya shamba la mizabibu pia.

Deuteronomy 22:9 in English

Deuteronomy 22:9 · Berean Standard Bible

Do not plant your vineyard with two types of seed; if you do, the entire harvest will be defiled *—both the crop you plant and the fruit of your vineyard.

Context

7Waweza kuchukua makinda, lakini uwe na hakika ya kumwacha huyo ndege, ili upate kufanikiwa na uweze kuishi maisha marefu. 8Wakati unapojenga nyumba mpya, fanya ukuta wa kuzuia kandokando ya dari ili usijiletee hatia ya kumwaga damu juu ya nyumba yako ikiwa yeyote ataanguka kutoka humo. 9Usipande aina mbili za mbegu katika shamba lako la mizabibu; ikiwa utafanya hivyo, si mazao utakayopanda tu yatakuwa najisi, bali nayo matunda ya shamba la mizabibu pia. 10Usilime kwa maksai aliyefungwa nira pamoja na punda. 11Usivae nguo za sufu na kitani zilizofumwa pamoja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.