Kumbukumbu 20:10
Deuteronomy 20:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati mtakapokwenda kushambulia mji, wapeni watu wake masharti ya amani.
Deuteronomy 20:10 in English
Deuteronomy 20:10 · Berean Standard Bible
When you approach a city to fight against it, you are to make an offer of peace.
Context
8Kisha maafisa wataongeza haya, “Je, kuna mtu anayeogopa ama kufa moyo? Yeye na arudi nyumbani ili ndugu zake nao wasije wakafa moyo pia.” 9Wakati maafisa watakapomaliza kuzungumza na jeshi, watawateua wakuu wa vikosi. 10Wakati mtakapokwenda kushambulia mji, wapeni watu wake masharti ya amani. 11Wakikubali na kuwafungulia malango yao, watu wake wote watawatumikia kwa kufanya kazi ngumu na watawatumikia. 12Ikiwa watakataa kufanya mapatano ya amani na wakiwaingiza katika vita, basi mtauzunguka mji huo kwa vita.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.