Kumbukumbu 20:11
Deuteronomy 20:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakikubali na kuwafungulia malango yao, watu wake wote watawatumikia kwa kufanya kazi ngumu na watawatumikia.
Deuteronomy 20:11 in English
Deuteronomy 20:11 · Berean Standard Bible
If they accept your offer of peace and open their gates, all the people there will become forced laborers to serve you.
Context
9Wakati maafisa watakapomaliza kuzungumza na jeshi, watawateua wakuu wa vikosi. 10Wakati mtakapokwenda kushambulia mji, wapeni watu wake masharti ya amani. 11Wakikubali na kuwafungulia malango yao, watu wake wote watawatumikia kwa kufanya kazi ngumu na watawatumikia. 12Ikiwa watakataa kufanya mapatano ya amani na wakiwaingiza katika vita, basi mtauzunguka mji huo kwa vita. 13Wakati Bwana Mungu wenu atakapouweka mji huo mkononi mwenu, waueni kwa upanga wanaume wote waliomo ndani yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.