Kumbukumbu 2:17
Deuteronomy 2:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akaniambia,
Deuteronomy 2:17 in English
Deuteronomy 2:17 · Berean Standard Bible
the LORD said to me,
Context
15Mkono wa Bwana uliwakabili hadi alipowaangamiza wote huko kambini. 16Ikawa baada ya mtu wa mwisho kuanzia wale wawezao kwenda vitani kufa, 17Bwana akaniambia, 18“Leo utapita katika nchi ya Moabu huko Ari. 19Utakapokuja kwa Waamoni, msiwasumbue wala kuwachokoza kwa vita, kwa kuwa sitawapa ardhi yoyote iliyo ya Waamoni kuwa milki yenu. Nimeitoa kama milki ya wazao wa Loti.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.