Kumbukumbu 2:18
Deuteronomy 2:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Leo utapita katika nchi ya Moabu huko Ari.
Deuteronomy 2:18 in English
Deuteronomy 2:18 · Berean Standard Bible
“Today you are going to cross the border of Moab at Ar.
Context
16Ikawa baada ya mtu wa mwisho kuanzia wale wawezao kwenda vitani kufa, 17Bwana akaniambia, 18“Leo utapita katika nchi ya Moabu huko Ari. 19Utakapokuja kwa Waamoni, msiwasumbue wala kuwachokoza kwa vita, kwa kuwa sitawapa ardhi yoyote iliyo ya Waamoni kuwa milki yenu. Nimeitoa kama milki ya wazao wa Loti.” 20(Hiyo pia ilidhaniwa kuwa nchi ya Warefai waliokuwa wakiishi huko, lakini Waamoni waliwaita Wazamzumi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.