Kumbukumbu 2:16
Deuteronomy 2:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ikawa baada ya mtu wa mwisho kuanzia wale wawezao kwenda vitani kufa,
Deuteronomy 2:16 in English
Deuteronomy 2:16 · Berean Standard Bible
Now when all the fighting men among the people had died,
Context
14Miaka thelathini na minane ilipita tangu wakati tulipoondoka Kadesh-Barnea mpaka tulipovuka Bonde la Zeredi. Kwa wakati huo kile kizazi chote cha wanaume kuanzia wale wawezao kwenda vitani kilikuwa kimekufa, kama Bwana alivyokuwa amewaapia. 15Mkono wa Bwana uliwakabili hadi alipowaangamiza wote huko kambini. 16Ikawa baada ya mtu wa mwisho kuanzia wale wawezao kwenda vitani kufa, 17Bwana akaniambia, 18“Leo utapita katika nchi ya Moabu huko Ari.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.