Native Bible

Deuteronomy 2:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mkono wa Bwana uliwakabili hadi alipowaangamiza wote huko kambini.

Deuteronomy 2:15 in English

Deuteronomy 2:15 · Berean Standard Bible

Indeed, the LORD’s hand was against them, to eliminate them from the camp, until they had all perished.

Context

13Bwana akasema, “Sasa ondokeni mvuke Bonde la Zeredi.” Hivyo tukavuka bonde. 14Miaka thelathini na minane ilipita tangu wakati tulipoondoka Kadesh-Barnea mpaka tulipovuka Bonde la Zeredi. Kwa wakati huo kile kizazi chote cha wanaume kuanzia wale wawezao kwenda vitani kilikuwa kimekufa, kama Bwana alivyokuwa amewaapia. 15Mkono wa Bwana uliwakabili hadi alipowaangamiza wote huko kambini. 16Ikawa baada ya mtu wa mwisho kuanzia wale wawezao kwenda vitani kufa, 17Bwana akaniambia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.