Wakolosai 3:19
Colossians 3:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao.
Colossians 3:19 in English
Colossians 3:19 · Berean Standard Bible
Husbands, love your wives and do not be harsh with them.
Context
17Lolote mfanyalo, ikiwa ni kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba katika yeye. 18Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana. 19Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao. 20Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana. 21Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.