Wakolosai 3:18
Colossians 3:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana.
Colossians 3:18 in English
Colossians 3:18 · Berean Standard Bible
Wives, submit to your husbands, as is fitting in the Lord.
Context
16Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu. 17Lolote mfanyalo, ikiwa ni kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba katika yeye. 18Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana. 19Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao. 20Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.