Native Bible

Colossians 3:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana.

Colossians 3:20 in English

Colossians 3:20 · Berean Standard Bible

Children, obey your parents in everything, for this is pleasing to the Lord.

Context

18Ninyi wake, watiini waume zenu, kama inavyostahili katika Bwana. 19Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao. 20Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana. 21Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa. 22Ninyi watumwa, watiini mabwana zenu wa hapa duniani katika mambo yote. Fanyeni hivyo si wakiwepo tu, wala si kwa kutafuta upendeleo wao, bali kwa moyo mnyofu na kumcha Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.