Wakolosai 3:21
Colossians 3:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa.
Colossians 3:21 in English
Colossians 3:21 · Berean Standard Bible
Fathers, do not provoke your children, so they will not become discouraged.
Context
19Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao. 20Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote, kwa maana hivi ndivyo inavyompendeza Bwana. 21Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa. 22Ninyi watumwa, watiini mabwana zenu wa hapa duniani katika mambo yote. Fanyeni hivyo si wakiwepo tu, wala si kwa kutafuta upendeleo wao, bali kwa moyo mnyofu na kumcha Bwana. 23Lolote mfanyalo, fanyeni kwa moyo kama watu wanaomtumikia Bwana, na si wanadamu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.