Native Bible

Amos 5:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

yeye hufanya maangamizo kwenye ngome na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa),

Amos 5:9 in English

Amos 5:9 · Berean Standard Bible

He flashes destruction on the strong, so that fury comes upon the stronghold.

Context

7Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu na kuiangusha haki chini 8(yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni, ambaye hugeuza giza kuwa mapambazuko na mchana kuwa usiku, ambaye huyaita maji ya bahari na kuyamwaga juu ya uso wa nchi: Bwana ndilo jina lake; 9yeye hufanya maangamizo kwenye ngome na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa), 10mnamchukia yule akemeaye mahakamani, na kumdharau yule ambaye husema kweli. 11Mnamgandamiza maskini na kumlazimisha awape nafaka. Kwa hiyo, ingawa mmejenga majumba ya mawe ya fahari, hamtaishi ndani yake; ingawa mmepanda mashamba mazuri ya mizabibu, hamtakunywa divai yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.