Native Bible

Amos 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu na kuiangusha haki chini

Amos 5:7 in English

Amos 5:7 · Berean Standard Bible

There are those who turn justice into wormwood and cast righteousness to the ground.

Context

5msitafute Betheli, msiende Gilgali, msisafiri kwenda Beer-Sheba. Kwa maana kwa hakika Gilgali itakwenda uhamishoni, na Betheli itafanywa kuwa si kitu.”* 6Mtafuteni Bwana mpate kuishi, au atafagia nyumba ya Yosefu kama moto; utawateketeza, nayo Betheli haitakuwa na yeyote wa kuuzima. 7Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu na kuiangusha haki chini 8(yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni, ambaye hugeuza giza kuwa mapambazuko na mchana kuwa usiku, ambaye huyaita maji ya bahari na kuyamwaga juu ya uso wa nchi: Bwana ndilo jina lake; 9yeye hufanya maangamizo kwenye ngome na kufanya mji uliozungushiwa ngome kuwa ukiwa),

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.