Native Bible

Amos 1:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nitatuma moto juu ya Temani ambao utateketeza ngome za Bosra.”

Amos 1:12 in English

Amos 1:12 · Berean Standard Bible

So I will send fire upon Teman to consume the citadels of Bozrah.”

Context

10Nitatuma moto kwenye kuta za Tiro ambao utateketeza ngome zake.” 11Hili ndilo Bwana asemalo: “Kwa dhambi tatu za Edomu, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Kwa sababu alimfuatia ndugu yake kwa upanga, alikataa kuonyesha huruma yoyote, kwa sababu hasira yake kali iliendelea kupanda wakati wote na ghadhabu iliwaka bila kuzuiliwa. 12Nitatuma moto juu ya Temani ambao utateketeza ngome za Bosra.” 13Hili ndilo asemalo Bwana: “Kwa dhambi tatu za Amoni, hata kwa dhambi nne, sitaizuia ghadhabu yangu. Kwa sababu aliwatumbua wanawake wajawazito wa Gileadi ili kuongeza mipaka yake. 14Nitatuma moto kwenye kuta za Raba ambao utateketeza ngome zake katikati ya vilio vya vita katika siku ya mapigano, katikati ya upepo mkali katika siku ya dhoruba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.