Native Bible

Acts 9:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sasa inuka uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.”

Acts 9:6 in English

Acts 9:6 · Berean Standard Bible

“Now get up and go into the city, and you will be told what you must do.”

Context

4Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?” 5Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu unayemtesa. 6Sasa inuka uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.” 7Watu waliokuwa wakisafiri pamoja na Sauli wakasimama bila kuwa na la kusema, kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza. 8Sauli akainuka kutoka pale chini na alipojaribu kufungua macho yake hakuweza kuona kitu chochote. Basi wakamshika mkono wakamwongoza mpaka Dameski.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.