Matendo 9:4
Acts 9:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?”
Acts 9:4 in English
Acts 9:4 · Berean Standard Bible
He fell to the ground and heard a voice say to him, “Saul, Saul, why do you persecute Me?”
Context
2naye akamwomba kuhani mkuu ampe barua za kwenda kwenye masinagogi huko Dameski, ili akimkuta mtu yeyote wa Njia Ile, akiwa mwanaume au mwanamke, aweze kuwafunga na kuwaleta Yerusalemu. 3Basi akiwa katika safari yake, alipokaribia Dameski, ghafula nuru kutoka mbinguni ikamwangaza kotekote. 4Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?” 5Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?”
Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu unayemtesa. 6Sasa inuka uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.