Matendo 9:5
Acts 9:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?” Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu unayemtesa.
Acts 9:5 in English
Acts 9:5 · Berean Standard Bible
“Who are You, Lord?” Saul asked. “I am Jesus, whom you are persecuting,” He replied.*
Context
3Basi akiwa katika safari yake, alipokaribia Dameski, ghafula nuru kutoka mbinguni ikamwangaza kotekote. 4Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?” 5Sauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?”
Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu unayemtesa. 6Sasa inuka uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.” 7Watu waliokuwa wakisafiri pamoja na Sauli wakasimama bila kuwa na la kusema, kwa sababu walisikia sauti lakini hawakumwona aliyekuwa akizungumza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.