Matendo 23:24
Acts 23:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia tayarisheni na farasi watakaotumiwa na Paulo, mkampeleke salama kwa mtawala Feliksi.”
Acts 23:24 in English
Acts 23:24 · Berean Standard Bible
Provide mounts for Paul to take him safely to Governor Felix.”
Context
22Yule jemadari akamruhusu yule kijana aende na akamwonya, akisema, “Usimwambie mtu yeyote kwamba umenieleza habari hizi.” 23Kisha yule jemadari akawaita viongozi wake wawili wa askari akawaambia, “Jiandaeni kuondoka saa tatu usiku huu kuelekea Kaisaria pamoja na askari 200, wapanda farasi sabini na watu 200 wenye mikuki. 24Pia tayarisheni na farasi watakaotumiwa na Paulo, mkampeleke salama kwa mtawala Feliksi.” 25Kisha akaandika barua kwa Feliksi kama ifuatavyo: 26Klaudio Lisia,
Kwa Mtawala, Mtukufu Feliksi:
Salamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.