Matendo 23:26
Acts 23:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Klaudio Lisia, Kwa Mtawala, Mtukufu Feliksi: Salamu.
Acts 23:26 in English
Acts 23:26 · Berean Standard Bible
Claudius Lysias, To His Excellency, Governor Felix: Greetings.
Context
24Pia tayarisheni na farasi watakaotumiwa na Paulo, mkampeleke salama kwa mtawala Feliksi.” 25Kisha akaandika barua kwa Feliksi kama ifuatavyo: 26Klaudio Lisia,
Kwa Mtawala, Mtukufu Feliksi:
Salamu. 27Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi wakakaribia kumuua, lakini nikaja na vikosi vyangu vya askari nikamwokoa, kwa kuwa nilipata habari kwamba yeye ni raiya wa Rumi. 28Nilitaka kujua kwa nini walikuwa wanamshutumu, hivyo nikamleta mbele ya baraza lao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.