Matendo 23:25
Acts 23:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha akaandika barua kwa Feliksi kama ifuatavyo:
Acts 23:25 in English
Acts 23:25 · Berean Standard Bible
And he wrote the following letter:
Context
23Kisha yule jemadari akawaita viongozi wake wawili wa askari akawaambia, “Jiandaeni kuondoka saa tatu usiku huu kuelekea Kaisaria pamoja na askari 200, wapanda farasi sabini na watu 200 wenye mikuki. 24Pia tayarisheni na farasi watakaotumiwa na Paulo, mkampeleke salama kwa mtawala Feliksi.” 25Kisha akaandika barua kwa Feliksi kama ifuatavyo: 26Klaudio Lisia,
Kwa Mtawala, Mtukufu Feliksi:
Salamu. 27Mtu huyu alikamatwa na Wayahudi wakakaribia kumuua, lakini nikaja na vikosi vyangu vya askari nikamwokoa, kwa kuwa nilipata habari kwamba yeye ni raiya wa Rumi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.