Matendo 2:44
Acts 2:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika.
Acts 2:44 in English
Acts 2:44 · Berean Standard Bible
All the believers were together and had everything in common.
Context
42Nao wakawa wanadumu katika mafundisho ya mitume, katika ushirika, katika kumega mkate na katika kusali. 43Kila mtu akaingiwa na hofu ya Mungu, nayo miujiza mingi na ishara zikafanywa na mitume. 44Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika. 45Waliuza mali zao na vitu walivyokuwa navyo, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake. 46Siku zote kwa moyo mmoja walikutana ndani ya ukumbi wa Hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, wakila chakula chao kwa furaha na moyo mweupe,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.