Matendo 2:42
Acts 2:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nao wakawa wanadumu katika mafundisho ya mitume, katika ushirika, katika kumega mkate na katika kusali.
Acts 2:42 in English
Acts 2:42 · Berean Standard Bible
They devoted themselves to the apostles’ teaching and to the fellowship, to the breaking of bread and to prayer.
Context
40Petro akawaonya kwa maneno mengine mengi na kuwasihi akisema, “Jiepusheni na kizazi hiki kilichopotoka.” 41Wale wote waliopokea ujumbe wa Petro kwa furaha wakabatizwa na siku ile waliongezeka watu wapatao 3,000. 42Nao wakawa wanadumu katika mafundisho ya mitume, katika ushirika, katika kumega mkate na katika kusali. 43Kila mtu akaingiwa na hofu ya Mungu, nayo miujiza mingi na ishara zikafanywa na mitume. 44Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.