Matendo 2:43
Acts 2:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kila mtu akaingiwa na hofu ya Mungu, nayo miujiza mingi na ishara zikafanywa na mitume.
Acts 2:43 in English
Acts 2:43 · Berean Standard Bible
A sense of awe * came over everyone, and the apostles performed many wonders and signs.
Context
41Wale wote waliopokea ujumbe wa Petro kwa furaha wakabatizwa na siku ile waliongezeka watu wapatao 3,000. 42Nao wakawa wanadumu katika mafundisho ya mitume, katika ushirika, katika kumega mkate na katika kusali. 43Kila mtu akaingiwa na hofu ya Mungu, nayo miujiza mingi na ishara zikafanywa na mitume. 44Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika. 45Waliuza mali zao na vitu walivyokuwa navyo, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.