Native Bible

Acts 2:46 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku zote kwa moyo mmoja walikutana ndani ya ukumbi wa Hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, wakila chakula chao kwa furaha na moyo mweupe,

Acts 2:46 in English

Acts 2:46 · Berean Standard Bible

With one accord they continued to meet daily in the temple courts * and to break bread from house to house, sharing their meals with gladness and sincerity of heart,

Context

44Walioamini wote walikuwa mahali pamoja, nao walikuwa na kila kitu shirika. 45Waliuza mali zao na vitu walivyokuwa navyo, kila mtu akagawiwa kadiri ya mahitaji yake. 46Siku zote kwa moyo mmoja walikutana ndani ya ukumbi wa Hekalu, wakimega mkate nyumba kwa nyumba, wakila chakula chao kwa furaha na moyo mweupe, 47wakimsifu Mungu na kuwapendeza watu wote. Kila siku Bwana akaliongeza kanisa wale waliokuwa wakiokolewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.