Matendo 2:14
Acts 2:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Petro akasimama pamoja na wale mitume kumi na mmoja, akainua sauti yake na kuhutubia ule umati wa watu, akasema: “Wayahudi wenzangu na ninyi nyote mkaao Yerusalemu, jueni jambo hili mkanisikilize.
Acts 2:14 in English
Acts 2:14 · Berean Standard Bible
Then Peter stood up with the Eleven, lifted up his voice, and addressed the crowd: “Men of Judea and all who dwell in Jerusalem, let this be known to you, and listen carefully to my words.
Context
12Wakiwa wameshangaa na kufadhaika wakaulizana, “Ni nini maana ya mambo haya?” 13Lakini wengine wakawadhihaki wakasema, “Hawa wamelewa divai!” 14Ndipo Petro akasimama pamoja na wale mitume kumi na mmoja, akainua sauti yake na kuhutubia ule umati wa watu, akasema: “Wayahudi wenzangu na ninyi nyote mkaao Yerusalemu, jueni jambo hili mkanisikilize. 15Hakika watu hawa hawakulewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi! 16La, hili ni jambo lililotabiriwa na nabii Yoeli, akisema:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.