Native Bible

Acts 2:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika watu hawa hawakulewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi!

Acts 2:15 in English

Acts 2:15 · Berean Standard Bible

These men are not drunk, as you suppose. It is only the third hour of the day!*

Context

13Lakini wengine wakawadhihaki wakasema, “Hawa wamelewa divai!” 14Ndipo Petro akasimama pamoja na wale mitume kumi na mmoja, akainua sauti yake na kuhutubia ule umati wa watu, akasema: “Wayahudi wenzangu na ninyi nyote mkaao Yerusalemu, jueni jambo hili mkanisikilize. 15Hakika watu hawa hawakulewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi! 16La, hili ni jambo lililotabiriwa na nabii Yoeli, akisema: 17“ ‘Katika siku za mwisho, asema Mungu, nitamimina Roho wangu juu ya wote wenye mwili. Wana wenu na binti zenu watatabiri, vijana wenu wataona maono, na wazee wenu wataota ndoto.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.