Matendo 2:13
Acts 2:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini wengine wakawadhihaki wakasema, “Hawa wamelewa divai!”
Acts 2:13 in English
Acts 2:13 · Berean Standard Bible
But others mocked them and said, “They are drunk on new wine!”
Context
11Wayahudi na waongofu, Wakrete na Waarabu, sote tunawasikia watu hawa wakisema mambo makuu ya ajabu ya Mungu katika lugha zetu wenyewe.” 12Wakiwa wameshangaa na kufadhaika wakaulizana, “Ni nini maana ya mambo haya?” 13Lakini wengine wakawadhihaki wakasema, “Hawa wamelewa divai!” 14Ndipo Petro akasimama pamoja na wale mitume kumi na mmoja, akainua sauti yake na kuhutubia ule umati wa watu, akasema: “Wayahudi wenzangu na ninyi nyote mkaao Yerusalemu, jueni jambo hili mkanisikilize. 15Hakika watu hawa hawakulewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.