Native Bible

Acts 2:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakiwa wameshangaa na kufadhaika wakaulizana, “Ni nini maana ya mambo haya?”

Acts 2:12 in English

Acts 2:12 · Berean Standard Bible

Astounded and perplexed, they asked one another, “What does this mean?”

Context

10Frigia, Pamfilia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene na wageni kutoka Rumi, 11Wayahudi na waongofu, Wakrete na Waarabu, sote tunawasikia watu hawa wakisema mambo makuu ya ajabu ya Mungu katika lugha zetu wenyewe.” 12Wakiwa wameshangaa na kufadhaika wakaulizana, “Ni nini maana ya mambo haya?” 13Lakini wengine wakawadhihaki wakasema, “Hawa wamelewa divai!” 14Ndipo Petro akasimama pamoja na wale mitume kumi na mmoja, akainua sauti yake na kuhutubia ule umati wa watu, akasema: “Wayahudi wenzangu na ninyi nyote mkaao Yerusalemu, jueni jambo hili mkanisikilize.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.