Native Bible

Acts 15:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Baada ya mambo haya nitarudi, nami nitajenga upya nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena magofu yake na kuisimamisha,

Acts 15:16 in English

Acts 15:16 · Berean Standard Bible

‘After this I will return and rebuild the fallen tent of David. Its ruins I will rebuild, and I will restore it,

Context

14Simoni amekwisha kutueleza jinsi Mungu, kwa mara ya kwanza alivyoonyesha kuhusika kwa kujichagulia watu kutoka watu wa Mataifa kwa ajili ya Jina lake. 15Maneno ya manabii yanakubaliana na jambo hili, kama ilivyoandikwa: 16“ ‘Baada ya mambo haya nitarudi, nami nitajenga upya nyumba ya Daudi iliyoanguka. Nitajenga tena magofu yake na kuisimamisha, 17ili wanadamu wengine wote wapate kumtafuta Bwana, hata wale watu wa Mataifa wote ambao wanaitwa kwa Jina langu, asema Bwana, afanyaye mambo haya’ 18ambayo yamejulikana tangu zamani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.