Matendo 15:17
Acts 15:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili wanadamu wengine wote wapate kumtafuta Bwana, hata wale watu wa Mataifa wote ambao wanaitwa kwa Jina langu, asema Bwana, afanyaye mambo haya’
Acts 15:17 in English
Acts 15:17 · Berean Standard Bible
so that the remnant of men may seek the Lord, and all the Gentiles who are called by My name, says the Lord who does these things
Context
15Maneno ya manabii yanakubaliana na jambo hili, kama ilivyoandikwa: 16“ ‘Baada ya mambo haya nitarudi,
nami nitajenga upya
nyumba ya Daudi iliyoanguka.
Nitajenga tena magofu yake
na kuisimamisha, 17ili wanadamu wengine wote
wapate kumtafuta Bwana,
hata wale watu wa Mataifa wote
ambao wanaitwa kwa Jina langu,
asema Bwana, afanyaye mambo haya’ 18ambayo yamejulikana tangu zamani. 19“Kwa hivyo uamuzi wangu ni kwamba, tusiwataabishe watu wa Mataifa wanaomgeukia Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.