2 Timotheo 1:15
2 Timothy 1:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Unajua ya kuwa watu wote katika Asia wameniacha, miongoni mwao wamo Filego na Hermogene.
2 Timothy 1:15 in English
2 Timothy 1:15 · Berean Standard Bible
You know that everyone in the Province of Asia * has deserted me, including Phygelus and Hermogenes.
Context
13Shika kwa uthabiti kielelezo cha mafundisho yenye uzima yale uliyoyasikia kwangu, pamoja na imani na upendo katika Kristo Yesu. 14Ilinde ile amana uliyokabidhiwa kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu. 15Unajua ya kuwa watu wote katika Asia wameniacha, miongoni mwao wamo Filego na Hermogene. 16Bwana akawahurumie watu wa nyumbani mwa Onesiforo, kwa sababu aliniburudisha mara kwa mara wala hakuionea aibu minyororo yangu. 17Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.